Walawi 19:28
Walawi 19:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Msijitie alama zozote mwilini mwenu kwa ajili ya kuomboleza au kujikatakata mwilini au kujichanja chale. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
Shirikisha
Soma Walawi 19