Walawi 11:44
Walawi 11:44 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndimi Mungu wenu, jiwekeni wakfu na kuwa watakatifu kwa maana mimi ni mtakatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 11Walawi 11:44 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa mimi ni BWANA, Mungu wenu; takaseni nafsi zenu basi; iweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni Mtakatifu; wala msitie uchafu nafsi zenu kwa kitu kitambaacho cha aina yoyote, kiendacho juu ya nchi.
Shirikisha
Soma Walawi 11