Maombolezo 5:15
Maombolezo 5:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Furaha ya mioyo yetu imetoweka, ngoma zetu zimegeuzwa kuwa ombolezo.
Shirikisha
Soma Maombolezo 5Maombolezo 5:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Furaha ya mioyo yetu imekoma; Machezo yetu yamegeuka maombolezo.
Shirikisha
Soma Maombolezo 5