Maombolezo 3:22
Maombolezo 3:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwamba fadhili za Mwenyezi-Mungu hazikomi, huruma zake hazina mwisho.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3