Maombolezo 1:2
Maombolezo 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Walia usiku kucha; machozi yautiririka. Hakuna hata mmoja wa wapenzi wake wa kuufariji. Rafiki zake wote wameuhadaa; wote wamekuwa adui zake.
Shirikisha
Soma Maombolezo 1Maombolezo 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hulia sana wakati wa usiku, Na machozi yake yapo mashavuni; Miongoni mwa wote waliompenda Hakuna hata mmoja amfarijiye; Rafiki zake wote wamemtenda hila, Wamekuwa adui zake.
Shirikisha
Soma Maombolezo 1