Yoshua 6:4
Yoshua 6:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na makuhani saba watachukua tarumbeta saba za pembe za kondoo waume, mbele ya hilo sanduku; na siku ya saba mtauzunguka mji mara saba, nao makuhani watapiga tarumbeta zao.
Shirikisha
Soma Yoshua 6Yoshua 6:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Makuhani saba, kila mmoja akiwa amechukua baragumu yake ya pembe za kondoo dume, watatangulia mbele ya sanduku la agano. Katika siku ya saba mtauzunguka mji huo mara saba, huku makuhani wakipiga mabaragumu.
Shirikisha
Soma Yoshua 6