Yoshua 6:1
Yoshua 6:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Yeriko ulikuwa umefungwa kabisa kwa sababu ya wana wa Israeli; hapana mtu aliyetoka wala hapana mtu aliyeingia.
Shirikisha
Soma Yoshua 6Yoshua 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Milango ya kuingilia mjini Yeriko ilikuwa imefungwa imara kwa ndani kuwazuia Waisraeli wasiingie. Hakuna mtu aliyeweza kuingia wala kutoka katika mji huo.
Shirikisha
Soma Yoshua 6