Yoshua 10:12
Yoshua 10:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati Mwenyezi-Mungu alipowatia Waamori mikononi mwa Waisraeli, Yoshua alimwomba Mwenyezi-Mungu mbele ya Waisraeli wote, akasema, “Wewe jua, simama kimya juu ya Gibeoni, wewe mwezi, katika bonde la Aiyaloni.”
Shirikisha
Soma Yoshua 10Yoshua 10:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Yoshua akanena na BWANA katika siku hiyo ambayo BWANA aliwatoa Waamori mbele ya wana wa Israeli; akasema mbele ya macho ya Israeli, Wewe Jua, simama kimya juu ya Gibeoni; Na wewe Mwezi, simama katika bonde la Aiyaloni.
Shirikisha
Soma Yoshua 10Yoshua 10:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Yoshua 10