Yoshua 1:5
Yoshua 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna mtu atakayekushinda siku zote za maisha yako. Nitakuwa pamoja nawe kama nilivyokuwa pamoja na Mose. Daima nitakuwa nawe wala sitakuacha kamwe.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakuna mtu yeyote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha.
Shirikisha
Soma Yoshua 1