Yoshua 1:1
Yoshua 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya kifo cha Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu alimwambia Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Mose
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baada ya kufa kwake Musa, mtumishi wa BWANA, BWANA akamwambia Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa Musa, akasema
Shirikisha
Soma Yoshua 1