Yona 4:3
Yona 4:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sasa, Ee BWANA, niondolee uhai wangu, kwa kuwa ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”
Shirikisha
Soma Yona 4Yona 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, sasa ee Mwenyezi-Mungu, nakusihi uniondolee uhai wangu, maana, kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kuishi.”
Shirikisha
Soma Yona 4