Yona 3:1-2
Yona 3:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yona mara ya pili: “Nenda Ninewi, ule mji mkuu, ukawatangazie watu ujumbe niliokupa.”
Shirikisha
Soma Yona 3Yona 3:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno la BWANA likamjia Yona mara ya pili, kusema, Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa; ukaihubiri habari nitakayokuamuru.
Shirikisha
Soma Yona 3