Yona 2:2
Yona 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
akisema: “Kwa sababu ya taabu yangu, nilikuomba, ee Mwenyezi-Mungu, nawe ukanisikiliza; toka chini kuzimu, nilikulilia, nawe ukasikiliza kilio changu.
Shirikisha
Soma Yona 2Yona 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Nilimlilia BWANA kwa sababu ya shida yangu, Naye akaniitikia; Katika tumbo la kuzimu niliomba, Nawe ukasikia sauti yangu.
Shirikisha
Soma Yona 2