Yona 1:12
Yona 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Yona akawajibu, “Nichukueni mkanitupe baharini, nayo bahari itatulia, maana naona wazi kwamba dhoruba hii imewapata kwa sababu yangu mimi.”
Shirikisha
Soma Yona 1Yona 1:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akawaambia, Nikamateni, mnitupe baharini; kisha bahari itatulia; kwa maana najua ya kuwa ni kwa ajili yangu tufani hii imewapata.
Shirikisha
Soma Yona 1