Yobu 5:18
Yobu 5:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwani yeye huumiza, lakini tena huuguza; Yeye hutia jeraha, na mikono yake huponya.
Shirikisha
Soma Yobu 5Yobu 5:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwani yeye huumiza na pia huuguza; hujeruhi, na kwa mkono wake huponya.
Shirikisha
Soma Yobu 5