Yobu 36:15
Yobu 36:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye humponya aliyetaabika kwa njia ya taabu yake, Na kuyafunua masikio yao kwa maonevu.
Shirikisha
Soma Yobu 36Yobu 36:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu huwaokoa wanyonge kwa unyonge wao hutumia shida zao kuwafumbua macho.
Shirikisha
Soma Yobu 36