Yobu 28:12-13
Yobu 28:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini hekima itapatikana wapi? Ni mahali gani panapopatikana maarifa? Hakuna mtu ajuaye thamani ya hekima, wala hekima haipatikani nchini mwa walio hai.
Shirikisha
Soma Yobu 28Yobu 28:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali hekima itapatikana wapi? Na mahali pa ufahamu ni wapi? Mwanadamu hajui thamani yake, Wala haionekani katika nchi ya walio hai.
Shirikisha
Soma Yobu 28