Yobu 23:12
Yobu 23:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kamwe sijaacha kushika amri yake, maneno yake nimeyatunza moyoni mwangu.
Shirikisha
Soma Yobu 23Yobu 23:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu
Shirikisha
Soma Yobu 23