Yobu 22:30
Yobu 22:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Atamwokoa na huyo asiye na hatia; Naam, utaokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.
Shirikisha
Soma Yobu 22Yobu 22:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye humwokoa mtu asiye na hatia; wewe utaokolewa kwa matendo yako mema.”
Shirikisha
Soma Yobu 22