Yobu 22:28
Yobu 22:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Chochote utakachoamua kitafanikiwa, na mwanga utaziangazia njia zako.
Shirikisha
Soma Yobu 22Yobu 22:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utakusudia neno, nalo litathibitika kwako; Na mwanga utaziangazia njia zako.
Shirikisha
Soma Yobu 22