Yohane 4:23-24
Yohane 4:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wakati waja, tena umekwisha wasili, ambapo wenye kuabudu wa kweli watamwabudu Baba katika roho na ukweli. Maana Baba anawataka watu wanaomwabudu namna hiyo. Mungu ni roho, na watu wanaomwabudu lazima wamwabudu kwa Roho na ukweli.”
Shirikisha
Soma Yohane 4Yohane 4:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Shirikisha
Soma Yohane 4Yohane 4:23-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Yohane 4