Yohane 3:21
Yohane 3:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali yeye aitendaye kweli huja kwenye nuru, ili matendo yake yaonekane wazi ya kuwa yametendwa katika Mungu.
Shirikisha
Soma Yohane 3Yohane 3:21 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini yule aishiye kwa ukweli huja kwenye nuru, ili ionekane wazi kwamba matendo yake yametendeka katika Mungu.”
Shirikisha
Soma Yohane 3