Yohane 3:14-15
Yohane 3:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye.
Shirikisha
Soma Yohane 3Yohane 3:14-15 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kama vile Mose alivyomwinua yule nyoka kule jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu. Ili kila mtu amwaminiye awe na uzima wa milele.
Shirikisha
Soma Yohane 3Yohane 3:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kama vile Mose alivyomwinua juu nyoka wa shaba kule jangwani, naye Mwana wa Mtu atainuliwa juu vivyo hivyo, ili kila anayemwamini awe na uhai wa milele.
Shirikisha
Soma Yohane 3