Yohane 20:31
Yohane 20:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini kwamba Yesu ni Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini mpate kuwa na uhai kwa nguvu ya jina lake.
Shirikisha
Soma Yohane 20Yohane 20:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini muwe na uzima kwa jina lake.
Shirikisha
Soma Yohane 20