Yohane 20:22
Yohane 20:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Alipokwisha sema hayo, akawapulizia na kuwaambia, “Pokeeni Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Yohane 20Yohane 20:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Yohane 20