Yohane 19:30
Yohane 19:30 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Baada ya kuionja hiyo siki, Yesu akasema, “Imekwisha.” Akainamisha kichwa chake, akaitoa roho yake.
Shirikisha
Soma Yohane 19Yohane 19:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipokwisha pokea hiyo siki, akasema, “Yametimia!” Kisha akainamisha kichwa, akatoa roho.
Shirikisha
Soma Yohane 19Yohane 19:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, Imekwisha. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake.
Shirikisha
Soma Yohane 19