Yohane 17:9-10
Yohane 17:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea wale ulionipa, maana ni wako. Yote niliyo nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana katika hao ulionipa.
Shirikisha
Soma Yohane 17Yohane 17:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako; na wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu; nami nimetukuzwa ndani yao.
Shirikisha
Soma Yohane 17