Yohane 15:4
Yohane 15:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kaeni ndani yangu, nami nikae ndani yenu. Kama vile tawi haliwezi peke yake kuzaa matunda lisipobaki katika mzabibu, hali kadhalika nanyi hamwezi kuzaa matunda msipokaa ndani yangu.
Shirikisha
Soma Yohane 15Yohane 15:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi hamuwezi, msipokaa ndani yangu.
Shirikisha
Soma Yohane 15Yohane 15:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa ndani yangu.
Shirikisha
Soma Yohane 15