Yohane 15:26
Yohane 15:26 Biblia Habari Njema (BHN)
“Atakapokuja huyo Msaidizi nitakayemtuma kwenu kutoka kwa Baba, huyo Roho wa ukweli, atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia mimi.
Shirikisha
Soma Yohane 15Yohane 15:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia.
Shirikisha
Soma Yohane 15