Yohane 15:1-2
Yohane 15:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi ndimi mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima. Kila tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na kila tawi lizaalo hulisafisha, ili lizidi kuzaa.
Shirikisha
Soma Yohane 15Yohane 15:1-2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Mimi ndimi mzabibu wa kweli na Baba yangu ndiye mkulima. Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda, Baba yangu hulikata, nalo kila tawi lizaalo, hulisafisha ili lipate kuzaa matunda zaidi.
Shirikisha
Soma Yohane 15Yohane 15:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi ni mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima. Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda yeye huliondoa, na kila tawi lizaalo hulisafisha lipate kuzaa zaidi.
Shirikisha
Soma Yohane 15