Yohane 13:14
Yohane 13:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ikiwa mimi niliye Bwana na Mwalimu nimewaosha nyinyi miguu, nanyi pia mnapaswa kuoshana miguu.
Shirikisha
Soma Yohane 13Yohane 13:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewaosha miguu, imewapasa ninyi pia kuoshana miguu ninyi kwa ninyi.
Shirikisha
Soma Yohane 13Yohane 13:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewatawadha miguu, imewapasa vivyo kutawadhana miguu ninyi kwa ninyi.
Shirikisha
Soma Yohane 13