Yohane 12:3
Yohane 12:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Maria alichukua nusu lita ya marashi ya nardo safi ya thamani kubwa, akampaka Yesu miguu na kuipangusa kwa nywele zake. Nyumba yote ikajaa harufu ya marashi.
Shirikisha
Soma Yohane 12Yohane 12:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Mariamu akatwaa ratili ya marhamu ya nardo safi yenye thamani nyingi, akampaka Yesu miguu, akamfuta miguu kwa nywele zake. Nayo nyumba pia ikajaa harufu ya marhamu.
Shirikisha
Soma Yohane 12