Yohane 12:14-15
Yohane 12:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu alikuwa amepata mwanapunda, akampanda, kama vile iliyoandikwa, Usiogope, binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda.
Shirikisha
Soma Yohane 12Yohane 12:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akampata mwanapunda mmoja, akapanda juu yake kama yasemavyo Maandiko: “Usiogope mji wa Siyoni! Tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwanapunda!”
Shirikisha
Soma Yohane 12