Yohane 12:13
Yohane 12:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki; wakapaza sauti wakisema: “Sifa! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana. Abarikiwe mfalme wa Israeli.”
Shirikisha
Soma Yohane 12Yohane 12:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakatwaa matawi ya mitende, wakatoka nje kwenda kumlaki, wakapiga makelele, Hosana! Ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!
Shirikisha
Soma Yohane 12Yohane 12:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
wakatwaa matawi ya mitende, wakatoka nje kwenda kumlaki, wakapiga makelele, Hosana! Ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!
Shirikisha
Soma Yohane 12