Yohane 10:4-5
Yohane 10:4-5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Akiisha kuwatoa wote nje, hutangulia mbele yao na kondoo humfuata kwa kuwa wanaijua sauti yake. Lakini kondoo hawatamfuata mgeni bali watamkimbia, kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.”
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Akisha watoa nje huwatangulia mbele, nao kondoo humfuata, kwani wanaijua sauti yake. Kondoo hao hawawezi kumfuata mgeni, bali watamkimbia kwa sababu hawaijui sauti yake.”
Shirikisha
Soma Yohane 10