Yohane 10:4
Yohane 10:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Akisha watoa nje huwatangulia mbele, nao kondoo humfuata, kwani wanaijua sauti yake.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye awatoapo nje kondoo wake wote, huwatangulia; na wale kondoo humfuata, kwa maana waijua sauti yake.
Shirikisha
Soma Yohane 10