Yohane 10:3-4
Yohane 10:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bawabu humfungulia huyo, na kondoo humsikia sauti yake; naye huwaita kondoo wake kwa majina yao, na kuwapeleka nje. Naye awatoapo nje kondoo wake wote, huwatangulia; na wale kondoo humfuata, kwa maana waijua sauti yake.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mngojamlango wa zizi humfungulia, na kondoo husikia sauti yake; naye huwaita kondoo wake kila mmoja kwa jina lake, na kuwaongoza nje. Akisha watoa nje huwatangulia mbele, nao kondoo humfuata, kwani wanaijua sauti yake.
Shirikisha
Soma Yohane 10