Yohane 10:11
Yohane 10:11 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi ni mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo wake.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
Shirikisha
Soma Yohane 10