Yohane 10:10
Yohane 10:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwizi huja kwa shabaha ya kuiba, kuua na kuharibu. Mimi nimekuja mpate kuwa na uhai – uhai kamili.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwizi huja tu kuiba, kuua na kuharibu; mimi nilikuja ili wawe na uzima, tena wawe nao tele.
Shirikisha
Soma Yohane 10