Yohane 10:1
Yohane 10:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kweli nawaambieni, yeyote yule asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia mlangoni, bali hupenya na kuingia kwa njia nyingine, huyo ni mwizi na mnyanganyi.
Shirikisha
Soma Yohane 10Yohane 10:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu aliwaambia, Amin, amin, nawaambieni, Yeye asiyeingia mlangoni katika zizi la kondoo, lakini akwea penginepo, huyo ni mwizi naye ni mnyang'anyi.
Shirikisha
Soma Yohane 10