Yeremia 8:11
Yeremia 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Wameliponya jeraha la watu wangu juujuu, wakisema, ‘Kuna amani, kuna amani’, kumbe hakuna amani yoyote!
Shirikisha
Soma Yeremia 8Yeremia 8:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana wamelitibu jeraha la binti ya watu wangu kwa juu juu tu, wakisema, Amani, Amani, wala hapana amani.
Shirikisha
Soma Yeremia 8