Yeremia 51:56
Yeremia 51:56 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, mwangamizi anaijia Babuloni; askari wake wametekwa, pinde zao zimevunjwavunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye kuadhibu, hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:56 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana mwenye kuangamiza amefika kwake; Naam, amefika Babeli; Na mashujaa wake wametwaliwa; Pinde zao zimevunjika kabisa; Maana BWANA ni Mungu wa kisasi; Hakika yake yeye atalipa.
Shirikisha
Soma Yeremia 51