Yeremia 5:7
Yeremia 5:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu anauliza: “Nitawezaje kukusamehe ee Yerusalemu? Watu wako wameniasi; wameapa kwa miungu ya uongo. Nilipowashibisha kwa chakula, wao walifanya uzinzi, wakajumuika majumbani mwa makahaba.
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawezaje kukusamehe? Watoto wako wameniacha mimi, na kuapa kwa hao ambao si miungu; nilipokuwa nimewashibisha chakula, walizini, wakakutana wengi pamoja katika nyumba za makahaba.
Shirikisha
Soma Yeremia 5