Yeremia 5:1
Yeremia 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kimbieni huko na huko mjini Yerusalemu; pelelezeni na kujionea wenyewe! Chunguzeni masoko yake mwone kama kuna mtu atendaye haki mtu atafutaye ukweli; akiwako, basi Mwenyezi-Mungu atausamehe Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Pigeni mbio huku na huku katika njia za Yerusalemu, mkaone sasa, na kujua, na kutafuta katika viwanja vyake, kwamba mwaweza kumpata mtu mmoja, kwamba yuko mtu mmoja awaye yote atendaye kwa haki, atafutaye uaminifu; nami nitausamehe mji huo.
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Yeremia 5