Yeremia 44:18
Yeremia 44:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini tangu tuache kumfukizia ubani malkia wa mbinguni na kummiminia kinywaji, tumetindikiwa kila kitu, na tumeangamizwa kwa vita na njaa.”
Shirikisha
Soma Yeremia 44Yeremia 44:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.
Shirikisha
Soma Yeremia 44