Yeremia 38:2
Yeremia 38:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA asema hivi, Akaaye ndani ya mji huu atakufa kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni; bali yeye atokaye kwenda kwa Wakaldayo ataishi, naye atapewa maisha yake yawe kama nyara, naye ataishi.
Shirikisha
Soma Yeremia 38Yeremia 38:2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mwenyezi-Mungu asema hivi: Yeyote atakayebaki katika mji huu atakufa kwa vita, njaa na maradhi; lakini yule atakayeondoka na kujisalimisha kwa Wakaldayo, ataishi. Atakuwa ametekwa nyara na kuishi.
Shirikisha
Soma Yeremia 38