Yeremia 33:8
Yeremia 33:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawatakasa dhambi zao zote na kuwasamehe uovu wao na uasi walionitendea.
Shirikisha
Soma Yeremia 33Yeremia 33:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawasafisha uovu wao wote, ambao kwao wamenitenda dhambi; nami nitawasamehe maovu yao yote, ambayo kwayo wamenitenda dhambi, na kukosa juu yangu.
Shirikisha
Soma Yeremia 33