Yeremia 33:3
Yeremia 33:3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Niite, nami nitakujibu na kukuambia mambo makubwa yaliyofichika ambayo hujapata kuyajua.
Shirikisha
Soma Yeremia 33Yeremia 33:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
Shirikisha
Soma Yeremia 33Yeremia 33:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
Shirikisha
Soma Yeremia 33