Yeremia 32:40
Yeremia 32:40 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitafanya nao agano la milele, kwamba sitaacha kamwe kuwatendea mema; nitaweka mioyoni mwao uchaji wangu ili wasiniache tena.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:40 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitafanya agano la milele pamoja nao, kwamba sitageuka wala kuwaacha, ili niwatendee mema; nami nitatia kicho changu mioyoni mwao, ili wasiniache.
Shirikisha
Soma Yeremia 32