Yeremia 32:27
Yeremia 32:27 Biblia Habari Njema (BHN)
“Tazama, mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa watu wote. Hakuna lolote linaloweza kunishinda.
Shirikisha
Soma Yeremia 32Yeremia 32:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lolote nisiloliweza?
Shirikisha
Soma Yeremia 32